Tafuta

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Tegeta Wazo, Dar Es Salaam

Sh. 600,000/month

Maelezo

Apartments zinapangishwa, zipo Tegeta Wazo.

Vyumba viwili kimoja master, Sitting Room, Dining Room, Kitchen na Public Toilet.

Bei ni 600,000
kwa mwezi, Malipo ni miezi 6 na mwezi 1 malipo ya Dalali.

Gharama za kuona 20,000

Wasiliana nami kwa



Karibuni sana

BWEMBWE REAL ESTATE Tz

dalalitegeta

@dalalitegeta

View Listings

Matangazo mengine Wazo, Dar Es Salaam

BWEMBWE REAL ESTATE Tz