Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara Temboni, Dar Es Salaam







Aina
Apartment
Vyumba
3
Barabara ya Karibu
1km
Awali
Inaruhusiwa
Huduma na Sifa
Maelezo
APARTMENT ZINA PANGISHWA KIMARA TEMBONI KM1 KUTOKA LAMI BARABARA SAFI YA LAMI GARI YOYOTE INA FIKA IWE MVUA IWE JUA . FANYA HARAKA
-----
Vyumba 3 vya kulala 2 master bedroom
Sebule kubwa
Jiko kubwa la kisasa lina makabati
Public toilet
Slide window
Maji yana flow
Luku yako
Ndani ya fence
Parking space kubwa sana
------
Service charge 20,000/=
Kodi 650,000/=×6
-------
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747















