Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Goba Centre, Dar Es Salaam

Goba, Ubungo, Dar Es Salaam
5 days ago
Sh. 700,000 per month
Aina
Nyumba
Vyumba
3
Barabara ya Karibu
700m
Huduma na Sifa
Dining
Jiko
Public Toilet
Makabati
Maelezo
Ipo goba centre inajitegemea 700,000 kwa mwezi ina vyumba vitatu kimoja masta sebule jiko diining na pia public toilet mita 700 kutoka lami 0714539608
