Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Isyeisye, Mbeya


Isyeisye, Mbeya
12 hours ago
Sh. 300,000/month
Huduma na Sifa
Maelezo
Nyumba inapangishwa inajitegemea kwenye fensi
Kodi 300k kwa mwezi
Location isyeisye
Vyumba vitatu vya kulala kimoja master bedroom na sebule jiko










