Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara Mwisho, Dar Es Salaam









Huduma na Sifa
Maelezo
STAND ALONE ..
===============
INAPANGISHWA
IKO-DAR-ES-SALAAM Tz
MAHALI-KIMARA MWISHO KM 1.5 TOKA LAMI AU MORO ROAD
______________
KODI NI
‼️( 700,000/= KWA MWEZI
‼️MIEZI kuanzia 6 au tano tukiomba na kuendelea
_____________
KUBWA YA KIFAMILIA
_______
YENYE:-
Vyumba Vtatu vya kulala #Masta #Sebule #dinning #Jiko zuri lenye #makabati Choo/Bafu vya ndani public
Gypsum Tiles aluminium Windows
Umeme upo wa Luku yake
Maji yapo ya bomba 24hrs
Cars Parkin..
SIMU
0712656027















