Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara Mwisho, Dar Es Salaam

Aina
Nyumba
Vyumba
3
Bafu
1
Barabara ya Karibu
1.5km
Awali
Inaruhusiwa
Maelezo
Vyumba v3 sebule dinning jiko store choo cha public ndan
Nyumba ipo ndan ya fanc no parking
Kod 300000 x6
Nyumba ipo kimara mwisho km1.5 tuu usafili boda 1000
Dalali mzoefu mwezi mmoja ulipiapo nyumba sevchage 20,000 kuona nyumba
NB nyumba hii gali inaishia nyumba ya pili
Mawasiliano 0656623510
WSP 0752436347















