Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara Mwisho, Dar Es Salaam









Huduma na Sifa
Maelezo
Nyumba kubwa ya kifamilia inapangishwa
Vyumba v3 kimoja master sebule kubwa jiko store choo cha public ndan dinning
Nyumba ipo ndan ya fanc mazingila mazuli sana
Kod 400000 x6 wahi
Zipo apartments mbili kwenye fanc moja na kila moja inajitegemea umeme na maji
Nyumba ipo kimara mwisho km1 tuu kutoka mwendokas
Galama za kupelekwa kuona 20k ukilipia utatoa mwez kwa dalali
SIMU
0712656027















