Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kimara Temboni, Dar Es Salaam









Aina
Nyumba
Vyumba
3
Barabara ya Karibu
2.5km
Awali
Inaruhusiwa
Maelezo
Mpyaaaaa mpyaaaaa Inapangishwa ipo kimara temboni kulia kama unaelekea mbezi
Umbali km.2.5 kufika usafiri boda au bajaji ukishuka bajaji unatembea dk 7
Muundo wanyumba
==================
Vyumba vitatu vyakulala kimoja master sebule kubwa jiko napablick toilet
Ndani yafensi nyumba 5 kila moja Inajitegemea umeme na maji Dawasa yanaflow ndani
#Kodi 410x6
Kuonanyumba elfu 20
Utamlipa dalali kodi yamwezi ukilipia nyumba
Contact
0742260844
0657384670















