Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Madale Mivumoni, Dar Es Salaam









Madale, Dar Es Salaam
7 hours ago
Sh. 900,000/month
Aina
Nyumba
Vyumba
3
Bafu
3
Barabara ya Karibu
1km
Huduma na Sifa
Maelezo
Nyumba nzuri Sana stand alone inapangishwa:
Room 3 masta 2
Dirning sitting jiko study room stoo public toilet na maji dawasco
Pia kuna jiko la nje na public toilet
Full A/C sebuleni dirning na vyumbani
Full makabati jikoni na masta
Kodi-laki 9 Tu Kwa mwezi kuanzia miez 6
Location - madale mivumoni
Umbali-Km 1 kutoka lami
Karibuni
Dalali Tegeta 0784234971
0718809744















