Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mkolani, Mwanza
Mkolani, Mwanza
4 hours ago
Sh. 300,000/month
Huduma na Sifa
Maelezo
Nyumba ina pangishwa mkolani mwanza ni vyumba 3 vya kulala sebure kubwa
Jiko kubwa
Master bedroom kubwa
Public toilet
Nyumba ina jitengemea kwenye fence pekee yake
Kodi ni lak 3 kwa mwezi malipo miezi 6 au mwaka 🙏
Location mkolani mwanza 👉
Call 🤙 Whatsapp















