Tafuta

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Salasala, Dar Es Salaam

Sh. 800,000/month

Huduma na Sifa

Karibu na Barabara ya Lami
Karibu na Barabara
Inajitegemea
Service Charge20k

Maelezo

vyumba vi 3 kodi laki 8 ipo salasala kona ya mbowee dakika 1 kutoka lami ya kona ya mbowee sitendi aloni kodi laki 8 kwa mwezi ni ya peke ako kalibu sana ipo wazi ufunguo ninao mimi kalibuni
zingatia service charge 20k
ukipenda nyumba dalali anakula kodi ya mwezi mmoja

Matangazo mengine Salasala, Dar es Salaam