Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Tegeta Kibo, Dar Es Salaam
ID: 260905ZMNJPTegeta, Dar es Salaam
13 hours ago
Sh. 800,000/month
Huduma na Sifa
Maelezo
Nyumba Inapangishwa. Inajitegemea, Ipo Tegeta kibo
Ina Vyumba 3 vya kulala, Kimoja ni Master, Dining Room, Sitting Room, Kitchen, Public Toilet.
Umeme wa Luku
Dawasa
Bei ni laki 800k
Gharama ya kuona
20,000
Wasiliana nami















