Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Ubungo Rivasaid, Dar Es Salaam

Huduma na Sifa
Maelezo
STAND ALONE
@
Inapangishwa
@
Bei 500.000 kwa mwez
@
Mahali ubungo rivasaid
@
Malipo miez 6 na dalali 7
@
Ni nyumba ya vyumba 3 sebule jiko choo
@
Vyumba ni master
‘#
Parkingi ipo
@
Karibu Sanaa ofisni kwetu sinza LEGO
@
Gatama ya kupelekwa ni sh 30000
@
Kwa mawasiliano ya sm 0756999550
@
Namba ya wasp 0659848687














