Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Goba Lastanza, Dar Es Salaam (600 sqm)

Maelezo
Nyumba Mpya ya vyumba vitatu inauzwa
📍Dar es salaam. GOBA LASTANZA. Njia ya Mbezi Beach
Nyumba mpya kabisa ina vyumba vitatu vyote ni masta, sebule, jiko, dining, choo cha wageni na stoo.
Ipo mtaa mzuri wenye nyumba nzuri za kitajiri na ni sehemu salama sana
Barabara ya gari ni pana na nzuri kutoka lami
Eneo ni SQM 600
BEI: TZS 440 Million (Maongezi yapo)
OFA: Gari ya aina ya BMW Buree
Full documents ✅️
Tupigie 0767 891 406 // 0785 682 800
#luganoorealestateagency















