Tafuta

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kibada, Dar Es Salaam (700 sqm)

video thumbnail
Sh. 68,000,000

Maelezo

NYUMBA INAUZWA – KIGAMBONI, KIBADA 🏑

Fursa nzuri ya kumiliki nyumba katika eneo linalokua kwa kasi la Kigamboni – Kibada. Nyumba ipo katika hatua ya finishing, hivyo unaweza kuikamilisha kwa mtindo unaoupenda.

βœ… Vyumba 3 (Vyumba 2 ni Master)
βœ… Sebule kubwa
βœ… Jiko
βœ… Ukubwa wa kiwanja: 700 Sqm
βœ… Hati ya Wilaya

πŸ’° Bei: TZS Milioni 68 (Maongezi yapo)

πŸ“ Umbali:
β€’ Kilomita 1 kutoka barabara ya lami
β€’ Kilomita 7 kutoka Feri ya Kigamboni
β€’ Kilomita 8 kutoka Daraja la Nyerere

🌟 Inafaa kwa makazi na uwekezaji kutokana na eneo lake lenye maendeleo ya haraka.

πŸ“ž 0769554221

#trendingvideo #realestateagents #istagram #tanzania #trendingnow

Matangazo mengine Kibada, Dar Es Salaam