Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kibamba Gogoni, Dar Es Salaam (700 sqm)









Kibamba, Dar Es Salaam
10 hours ago
Sh. 160,000,000
Aina
Nyumba
Vyumba
3
Ukubwa
700 SQM
Barabara ya Karibu
2.5km
Maelezo
NYUMBA INAUZWA KIBAMBA GOGONI
Square mita 700
Umbali KM 2.5
Vyumba 3 vya kulala 2 ni master bedrooms sebule dinning jiko na stoo
Bei Mil. 160 Maongezi yapo
Ipo ndani ya fence inamaji na umeme neighbourhood nzuri
Ina CLEAN TITLE DEED
Site visit 30,000/=
☎️:0625606710















