Tafuta

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kibamba Shule Hondogo, Dar Es Salaam (2000 sqm)

video thumbnail
Sh. 135,000,000

Aina

Nyumba

House for sale in Kibamba

Vyumba

3

3 bedroom House for sale in Kibamba

Ukubwa

2000 SQM

Barabara ya Karibu

3km — Morogoro Road

Huduma na Sifa

Chumba cha Msaidizi
Bustani
Mabanda Ya Kufugia

Maelezo

NYUMBA NZURI SANA YENYE ENEO KUBWA SANA INAUZWA KIBAMBA SHULE HONDOGO

Ukubwa wa eneo sqm 2000

Vyumba 3 vya kulala kimoja wapo master bedroom kubwa Sebule kubwa dinning jiko zuri la kisasa , PIA Kuna servant corter ya vyumba 2

Kuna mabanda yakutosha ya kufugia na eneo kubwa lime limebaki lakuweza kujenga nyumba zingine

Umbali km 3 kutoka MOROGORO ROAD

Bei Mil. 135 maongezi yapo kidogo

Sales agreement kutoka serikali za mtaa

Kupelekwa kuona nyumba za kununua 30,000/=

0711258592

Matangazo mengine Kibamba, Dar Es Salaam