Tafuta

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kigamboni, Fancity, Dar Es Salaam (300 sqm)

Sh. 33,000,000

Huduma na Sifa

Tiles
Umeme
Wiring Completed
Roofing Completed

Maelezo

🏑 NYUMBA YA MALIZIAJI INAUZWA – KIGAMBONI, FANCITY(MTAA WA LUGWADU) 🏑

Fursa nzuri ya kumiliki nyumba katika eneo linalokua kwa kasi la Fanesi City, Kigamboni.

✨ Sifa za Nyumba:
βœ… Vyumba 3, vyote Master Bedroom
βœ… Sebule kubwa
βœ… Jiko
βœ… Tayari imeezekwa bati
βœ… Wiring ya umeme imekamilika
βœ… Vyoo vimewekewa vigae (tiles)
βœ… Nyumba ipo hatua nzuri ya umaliziaji

πŸ“ Ukubwa wa Kiwanja:
β€’ Mita 15 Γ— 15 (SQM 300)

πŸ“ Mahali:
β€’ Kilomita 2 kutoka Barabara Kuu ya Lami
β€’ Kilomita 9 kutoka Ferry
β€’ Kilomita 10 kutoka Daraja la Nyerere

πŸ’° Bei: TZS Milioni 33
Maongezi yapo kidogo kwa mnunuzi mwenye nia ya dhati.

πŸ“ž0769554221

#trendingvideo #istagram #realestatemarket #tanzania #trendingaudio

Matangazo mengine Kigamboni, Dar Es Salaam