Tafuta

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kigamboni, Kisarawe II (Ringato), Dar Es Salaam (600 sqm)

Sh. 45,000,000

Aina

Nyumba

House for sale in Kigamboni

Vyumba

3

3 bedroom House for sale in Kigamboni

Ukubwa

600 SQM

Barabara ya Karibu

2km β€” Barabara ya Kisarawe/Ostendi

Huduma na Sifa

Maelezo

🏑 BOMA LINAUZWA – KIGAMBONI, KISARAWE II (RINGATO) 🏑

Fursa nzuri ya kumiliki boma katika eneo linalokua kwa kasi la Kigamboni, Kisarawe II – Mtaa wa Ringato.

βœ… Vyumba 3, vyote Master Bedroom
βœ… Sebule kubwa pamoja na jiko
βœ… Umeme (wiring) tayari umefanyika
βœ… Eneo la ukubwa wa SQM 600
βœ… Linapatikana katika mazingira mazuri na tulivu

πŸ“ Umbali:
β€’ Kilomita 2 kutoka Barabara ya Kisarawe/Ostendi
β€’ Kilomita 9 kutoka Feri ya Kigamboni
β€’ Kilomita 10 kutoka Daraja la Nyerere

πŸ’° Bei: TZS Milioni 45 (Maongezi yapo)

πŸ“ž0769554221

#trendingvideo #realestateagent #tanzania #istagram #trendingaudio

Matangazo mengine Kigamboni, Dar Es Salaam