Tafuta

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kimara Suka, Dar Es Salaam (584 sqm)

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
media -7
media -8
Sh. 115,000,000

Aina

Nyumba

House for sale in Kimara

Vyumba

3

3 bedroom House for sale in Kimara

Ukubwa

584 SQM

Barabara ya Karibu

3km — Morogoro Road

Huduma na Sifa

Maelezo

NYUMBA KUBWA YA KISASA YA FAMILIA INAUZWA KIMARA SUKA BEI NI 115 MILIONI MAONGEZI YAPO

💥NYUMBA INA SIFA ZIFUATAZO

#VYUMBA 3 VIKUBWA SANA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#DINNING
#JIKO KUBWA LA KISASA
#STORE
#MAJI DAWASA YAKO YA KUTOSHA

#KUNA MPANGAJI ANALIPA KODI 350K
#NYUMBA IMEZUNGUSHIWA FENSI KOTE
#KUNA SEHEMU KUBWA IMEBAKIA UNAJENGA NYUMBA NYINGINE KUBWA

BEI NI MILIONI 115M MAONGEZI YAPO

UKUBWA: SQM 584

DOCUMENT:- KARATASI ORIGINAL YA MAUZIANO KUTOKA SERIKALI YA MTAA

🇹🇿NYUMBA HII IPO KIMARA SUKA UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 3 USAFIRI NI BAJAJI NA BODABODA

KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 30

MAWASILIANO 0656623510

WSP 0752436347

Matangazo mengine Kimara, Dar Es Salaam

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kimara Temboni, Dar Es Salaam (600 sqm)

Sh. 210,000,000

For Sale3 beds2 baths600 sqmhouse
Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Kimara Bonyokwa, Dar Es Salaam (600 sqm)

Sh. 145,000,000

For Sale4 beds3 baths600 sqmhouse
Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Kimara Bonyokwa, Dar Es Salaam (600 sqm)

Sh. 145,000,000

For Sale4 beds3 baths600 sqmhouse
Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kimara Mwisho, Dar Es Salaam (400 sqm)

Sh. 90,000,000

For Sale3 beds2 baths400 sqmhouse