Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbagala Chamazi, Dar Es Salaam (400 sqm)

Aina
Nyumba
Vyumba
3
Bafu
2
Ukubwa
400 SQM
Huduma na Sifa
Maelezo
NYUMBA YENYE VYUMBA 3, BANDA VYUMBA 2,TSHS.90 MILIONI,MBAGALA CHAMAZI.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM.400.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Ujenzi wa kisasa.
Vyumba 3 (Masta 1)
Pia kuna Sebule, Jiko, Dining-room,
Store na Choo cha Familia.
Nyumba Ina kisima na Parking yakutosha.
________________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255 714 591 548
________________rkmb




















