Tafuta

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbagala Chamazi, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 65,000,000

Huduma na Sifa

Maji
Umeme
Kitchen Cabinets
Sitting Room
Dining Room
Store Room

Maelezo

NYUMBA INAUZWA – MBAGALA CHAMAZI (MTAA WA DOVYA)

Nyumba inauzwa kwa bei ya Tsh milioni 65 (maongezi yapo).
Ipo Mbagala Chamazi, mtaa wa Dovya, eneo zuri na linalokua kwa kasi.

🔹 Ina vyumba 3 vya kulala
🔹 Chumba 1 Master Bedroom
🔹 Sitting room na Dining room
🔹 Jiko la kisasa
🔹 Public toilet
🔹 Store
🔹 Huduma ya maji ipo

➕ Ina frame 3–3 pamoja na banda la vyumba 3 (fursa nzuri kwa upangishaji).

🏡 Nyumba ya kitajili na ya kisasa kabisa, imejengwa kwa ubora mzuri.

⚠️ Mwenyewe kavurugwa mno
👉 Hasara kwa muuzaji – faida kwa mnunuzi

📍 Njoo site ukague bila kukosa
📞 Kwa maelezo zaidi, wasiliana nami.(0683 665504)