Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbagala Chamazi, Dar Es Salaam

Huduma na Sifa
Maelezo
NYUMBA NZURI SANA INAUZWA
BEI MILLION Miliioni 78
ipo mbagala chamaz jiji la dar es salaam wilaya ya temeke
Umbali wa dk 15 Kutoka bara bara kuu ya lami
Ina vyumba vitatu vya kulala kimoja ni master bedroom ina stting room na dainingi room na jiko pamoja na public toilet ina maji na umeme vipo
PIGA SIMU TWENDE SAITI
O719969102















