Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Bunju Moga, Dar Es Salaam









Huduma na Sifa
Maelezo
Nyumba Inapangishwa. Inajitegemea, Ipo bunju Moga
Ina Vyumba Vinnie vya kulala, Viwili ni Master, Dining Room, Sitting Room, Kitchen, Public Toilet.
Umeme wa Luku
Dawasa
Bei ni Million 1 Laki 3
Gharama ya kuona
20,000
Wasiliana nami
0718 809 744















