Tafuta

Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Chidachi, Dodoma

video thumbnail
Chidachi, Dodoma
2 months ago
Sh. 500,000/month

Maelezo

🏑 Nyumba ya Stand Alone Inapangishwa

πŸ“ Mahali: Chidachi, Dodoma

Muundo wa Nyumba:
βœ… Vyumba 4 vya kulala
βœ… Chumba 1 ni master
βœ… Sebule kubwa
βœ… Dining
βœ… Jiko
βœ… Public toilet

πŸ’° Kodi: TSh 500,000/= kwa mwezi

πŸ“Œ Masharti ya Malipo:

* Malipo ya miezi 6
* Pamoja na kodi ya mwezi mmoja
* Dalali analipwa na mteja (mpangaji) tofauti na kodi ya mwenye nyumba

Huduma Zinazopatikana:
πŸ”Ή Umeme unajitegemea
πŸ”Ή Maji unajitegemea
πŸ”Ή Maji yanapatikana muda wote
πŸ”Ή Nyumba ipo jirani sana na barabara ya lami

πŸ“ž Mawasiliano:
0787037986
0757037986

Karibuni Bupalu Real Estate
β€œTunakusaidia kupata nyumba bora kwa mahitaji yako.”

Matangazo mengine Chidachi, Dodoma

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Chidachi, Dodoma

Sh. 350,000/month

For Rent3 beds2 bathshouse
Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Chidachi, Dodoma

Sh. 500,000/month

For Rent2 beds2 bathshouse
Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Chidachi, Dodoma

Sh. 450,000/month

For Rent2 bedshouse
Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Chidachi, Dodoma

Sh. 450,000/month

For Rent2 bedshouse
Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Chidachi, Dodoma

Sh. 450,000/month

For Rent2 bedshouse
Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Chidachi, Dodoma

Sh. 350,000/month

For Rent3 beds2 bathshouse
Nyumba inapangishwa Chidachi, Dodoma

Sh. 300,000/month

For Renthouse