Tafuta

Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Kisiwani, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 2,000,000/month

Maelezo

NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI

<> location kisiwani

<> nyumba ina vyumba vinne vyote master sebule dining na jiko nzuri stand alone

◾️nyumba iko fenced
◾️nyumba Ina parking
◾️nyumba ina electric ⚡️
◾️nyumba ina jitegemea

<> asking price Milioni 2 TSH! per month
mwezi moja wa dalali kisiwani

◾️umeme luku yake
◾️maji unajitegemea
◾️services charge elfu ishilini

◾️mawasiliano
✅0628505896
✅0763954837

Matangazo mengine Kisiwani, Dar es Salaam