Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Mbwaruk, Kilimanjaro (2000 sqm)
Kilimanjaro, Kilimanjaro
7 hours ago
Sh. 350,000/month
Huduma na Sifa
Maelezo
NYUMBA INAPANGISHWAA MOSHI,
LOCATION; Mbwaruki Moshi,
Ni nyumba ya room 4 za kulala, moja ni Master, sebule, jiko, choo cha public na baraza 2,
Room 2 za nje Na mabanda ya Kuku
Nyumba Iko na eneo la wazi Nusu heka, inafaa kulima au Kwa kufuga,
Huduma zote za kijamii zipo.
Nyumba Iko yenyewe kwenye compound
Price = 350,000 (laki tatu na hamsini) kwa mwezi.
+ pesa ya dalali sawa na ya mwezi 1.
Nichek Whatsapp













