Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Salasala, Dar Es Salaam

Maelezo
NYUMBA YENTE VYUMBA 4, INAPANGISHWA,TZS.800,000/MWEZI SALASALA.
Hapa ni jirani na KWA MKUU WA MAGEREZA.
Nyumba nzuri,kubwa iliyopo ndani ya Fensi.
Jumla ina vyumba 4 ( 3 Vyoo ndani)
Pia Sebule, Jiko, Dining-room,
Store na Choo cha Familia ndani.
Vilevile ina Servant's Quarter ya Chumba kimoja.
_________________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni Kodi ya Mwezi mmoja.
Kuina ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MPANGAJI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255 714 591 548
_________________tss















