Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Sinza, Dar Es Salaam

Huduma na Sifa
Maelezo
STAND ALONE
@
Inapangishwa
@
Bei 1.000.000 kwa mwez
@
Mahali sinza
@
Vyumba 4 sebule jiko chooo dining
@
Chumba kimoja master no parkingi gar linafika
@
Kuishi papa ofisi poa
@
Karibu snaaa ofisini kwetu sinza LEGO
@
Garama ya kupelekwa ni sh 30000
@
Kwa mawasiliano ya sm 0756999550
@
Namba ya wasp 0659848687















