Tafuta

Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Tegeta Wazo, Dar Es Salaam

Sh. 1,200,000/month

Maelezo

#Repost @dalali_mkuu_ubungo_tabata
——
Nyumba Inapangishwa. Inajitegemea, Ipo Tegeta Wazo kwa Makamba

Ina Vyumba vinne vya kulala, kimoja ni Master, Dining Room, Sitting Room, Kitchen, Public Toilet.

Umeme wa Luku
Dawasa

Bei ni Million 1 Laki 2

Gharama ya kuona
30,000

Wasiliana nami
0712500602
0755336565

Matangazo mengine Wazo, Dar Es Salaam

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Tegeta Wazo, Dar Es Salaam

Sh. 500,000/month

For Rent2 beds3 bathshouse