Tafuta

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Chukwani, Zanzibar (412.5 sqm)

Zanzibar, Zanzibar
4 hours ago
Sh. 150,000,000

Huduma na Sifa

(Fence) Ukuta
Karibu na Barabara ya Lami
Karibu na Barabara
Bandaletu
Public Toilet Pit

Maelezo

🏑 TUNAUZA SEHEMU – CHUKWANI, MKABALA NA CHUO CHA ICPS
Sehemu hii imezungushiwa ukuta wa fence na ndani kuna bandaletu yenye vyumba 4, ikiwemo master bedroom.
πŸ“ Ukubwa wa kiwanja: Mita 25 Γ— 16.5
🚧 Ipo karibu sana na lami na barabara ya zege
🚽 Shimo la choo tayari limechimbwa
πŸ’Ό Sehemu nzuri sana kwa uwekezaji pamoja na makazi.
πŸ”₯ BEI: TSH 150,000,000/=
Kwa wale wanaohitaji sehemu nzuri kwa ajili ya makazi au uwekezaji, karibuni sana. Usikose fursa hii!

Dalali Zanzibar

dalali_zanzibar_one_hd

@dalali_zanzibar_one_hd

View Listings

Matangazo mengine Zanzibar, Zanzibar

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Fuoni Chunga, Zanzibar

Sh. 35,000,000

For Sale3 beds1 bathhouse
Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Fuoni Kibondeni, Zanzibar

Sh. 32,000,000

For Sale3 beds2 bathshouse
Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Kombeni, Zanzibar (600 sqm)

Sh. 370,000,000

For Sale4 beds600 sqmhouse
Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kombeni, Zanzibar

Sh. 250,000,000

For Sale3 bedshouse
Dalali Zanzibar