Tafuta

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Kibugumo, Dar Es Salaam (700 sqm)

Sh. 100,000,000

Huduma na Sifa

Hati
Ardhi Iliyopimwa
Karibu na Barabara ya Lami
Dining
Jiko
Sebule

Maelezo

๐Ÿก NYUMBA INAUZWA โ€“ KIGAMBONI, KIBUGUMO)

Usikose fursa ya kumiliki nyumba nzuri iliyopo katika mazingira tulivu na yanayokua kwa kasi, inayofaa kwa makazi ya familia au uwekezaji.

๐Ÿ“ Mahali:, Kigamboni (KIBUGUMO )

โœจ Sifa za Nyumba:

* Vyumba 4
* Vyumba 3 ni Master
* Sebule kubwa
* Dining
* Jiko
* Eneo la SQM 700
* Kiwanja kimepimwa na kina Approved Plan

๐Ÿ“ Umbali:

* Mita 100 kutoka barabara ya lami
* Kilomita 9 kutoka Ferry
* Kilomita 8 kutoka Daraja la Nyerere

๐ŸŒฟ Nyumba ipo kwenye eneo zuri lenye barabara nzuri, mazingira salama, na majirani waliokaa vizuri.

๐Ÿ’ฐ Bei: TZS 100,000,000 (Mazungumzo kidogo yapo.)

๐Ÿ“ž
๐Ÿ“Service Charge 30,000

#trendingvideo #istagram #realestateagent #tanzania #trendingaudio

Dalali Kigamboni mbavu

dalali__kigamboni_mbavu

@dalali__kigamboni_mbavu

View Listings

Matangazo mengine Kibugumo, Dar es Salaam

Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Kibugumo, Dar Es Salaam (700 sqm)

Sh. 85,000,000

For Sale5 beds0 baths700 sqmhouse
Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kibugumo, Dar Es Salaam (400 sqm)

Sh. 87,000,000

For Sale3 beds3 baths400 sqmhouse
Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Kibugumo, Dar Es Salaam (1000 sqm)

Sh. 89,000,000

For Sale2 beds2 baths1,000 sqmhouse
Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kibugumo, Dar Es Salaam (700 sqm)

Sh. 85,000,000

For Sale3 beds3 baths700 sqmhouse
Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kibugumo, Dar Es Salaam (700 sqm)

Sh. 85,000,000

For Sale3 beds3 baths700 sqmhouse
Dalali Kigamboni mbavu