Tafuta

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Kigamboni Kisiwani, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 240,000,000

Maelezo

🏡 NYUMBA YA KISASA INAUZWA – KIGAMBONI KISIWANI 🏡

Je, unatafuta nyumba yenye nafasi kubwa, mazingira mazuri na ipo karibu na miundombinu muhimu? Hii ndiyo fursa yako!

✨ Sifa za Nyumba:
✅ Vyumba 4 vya kulala (2 Master)
✅ Sebule kubwa
✅ Jiko la kisasa
✅ Eneo la SQM 800
✅ Kiwanja kimepimwa na kina Approved Plan
✅ Kisima cha maji
✅ Full paving
✅ Electric fence
✅ Pia kuna nyumba ndogo (boy’s quarter) ambayo haijakamilika yenye:

* Vyumba 2
* Sebule
* Jiko

📍 Mahali: Kigamboni – Kisiwani

* Kilomita 1 kutoka barabara ya lami
* Kilomita 5 kutoka Ferry
* Kilomita 3 kutoka Daraja la Nyerere

🌿 Mazingira ni mazuri, mtaa umepangika na unafaa kwa makazi ya familia.

💰 Bei: TZS Milioni 240
🤝 Mazungumzo yapo.

📞0769554221

#trendingvideo #istagram #realestatemarket #realestateagent #tanzania

Matangazo yanayofanana Kigamboni, Dar Es Salaam

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Kigamboni, Kibada, Dar Es Salaam

Sh. 350,000,000

For Sale4 beds4 bathshouse
  • CCTV

  • Fence ya Umeme

  • Paving Blocks

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Kigamboni Kisiwani, Dar Es Salaam

Sh. 240,000,000

For Sale4 beds800 sqm
  • Maji

  • Paving Blocks

  • Fence ya Umeme

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Kigamboni, Kibada, Dar Es Salaam

Sh. 350,000,000

For Sale4 beds3 bathshouse
  • CCTV

  • Fence ya Umeme

  • Paving Blocks

Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Kigamboni Gezaulole, Dar Es Salaam (1200 sqm)

Sh. 345,000,000

For Sale5 beds6 baths1,200 sqmhouse
  • Hati

  • Karibu na Bichi

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Kigamboni Kibada Block 18, Dar Es Salaam (900 sqm)

Sh. 550,000,000

For Sale4 beds5 baths900 sqmhouse
  • Hati

  • Maji

  • Umeme

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Kigamboni Kibada, Dar Es Salaam (900 sqm)

Sh. 550,000,000

For Sale4 beds900 sqmhouse
  • Hati

  • Maji

  • Umeme

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 145,000,000

For Sale4 bedshouse
  • Karibu na Barabara ya Lami

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kigamboni Fanicity, Dar Es Salaam (400 sqm)

Sh. 58,000,000

For Sale3 beds400 sqmhouse
  • Karibu na Barabara ya Lami

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 145,000,000

For Sale4 beds
  • Karibu na Barabara ya Lami

  • Site Visit Bure

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kigamboni Kibugumo, Dar Es Salaam

Sh. 39,000,000

For Sale3 bedshouse
  • Dining

  • Jiko

  • Public Toilet

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kigamboni Fanicity, Dar Es Salaam (400 sqm)

Sh. 58,000,000

For Sale3 beds2 baths400 sqmhouse
  • Karibu na Barabara ya Lami

  • Karibu na Barabara

Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inauzwa Kigamboni Kisarawee, Dar Es Salaam

Sh. 225,000,000

For Sale1 bed800 sqmhasTitleDeed
  • Hati

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Kigamboni Kibada, Dar Es Salaam (600 sqm)

Sh. 140,000,000

For Sale4 beds600 sqmhouse
  • Hati

  • Ardhi Iliyopimwa

  • Karibu na Barabara ya Lami

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Kigamboni Kibada, Dar Es Salaam (600 sqm)

Sh. 140,000,000

For Sale4 beds600 sqmhouse
  • Hati

  • Ardhi Iliyopimwa

  • Karibu na Barabara ya Lami