Tafuta

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Kijichi Ushuani, Dar Es Salaam (2000 sqm)

video thumbnail
Sh. 270,000,000

Maelezo

🏑 BIG HOUSE INAUZWA – KIJICHI USHUANI

Unatafuta nyumba kubwa ya kifahari yenye nafasi ya kutosha kwa familia au uwekezaji? Hii ndiyo fursa yako!

✨ Sifa za Nyumba:
βœ… Vyumba 4 vya kulala – vyote ni master
βœ… Sebule kubwa na jiko la kisasa
βœ… Servant quarter yenye chumba, sebule na jiko
βœ… Public toilet ya nje
βœ… Kijumba cha mlinzi (Guard House)
βœ… Eneo la SQM 2,000
βœ… Imepimwa na ina Hati ya Wizara

πŸ“ Mahali: Kijichi Ushuani
πŸ“ Mita 300 tu kutoka barabara ya lami

πŸ’° Bei: TZS 270,000,000
🀝 Mazungumzo yapo kwa mnunuzi mwenye nia.

πŸ“ž 0769554221
#trendingvideo #istagram #realestateagent #tanzania #trendingaudio