Tafuta

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Kijichi Ushuani, Dar Es Salaam (2000 sqm)

Sh. 260,000,000

Maelezo

NYUMBA YA KISASA INAUZWA – KIJICHI USHUANI πŸ”₯🏑

πŸ’Ž FURSA NZURI KWA MAKAZI NA UWEKEZAJI!

Nyumba nzuri na ya kisasa inauzwa Kijichi – Ushuani, ikiwa kwenye mazingira mazuri, tulivu na mtaa wenye barabara nzuri inayofika moja kwa moja kwenye nyumba.

✨ SIFA ZA NYUMBA:
βœ… Vyumba 4, vyote Master
βœ… Sebule kubwa
βœ… Dining
βœ… Jiko
βœ… Kisima cha maji
πŸ“ Ukubwa wa kiwanja: SQM 2000
πŸ“„ Nyaraka: Hati ya Wizara
🏑 Nyumba ya kisasa kabisa
πŸ›£οΈ Barabara nzuri hadi kwenye nyumba
🌿 Mazingira mazuri na tulivu

πŸ“ UMBALI:
πŸ“Œ Mita chache kutoka barabarani
πŸ“Œ Kilomita 7 kutoka Kariakoo
πŸ“Œ Kilomita 7 kutoka Kariakoo

πŸ’° BEI: TZS MILIONI 260
🀝 Mazungumzo kidogo yapo.

πŸ”₯ Nyumba nzuri, location nzuri na mazingira mazuri kabisa. Karibuni sana kuitazama!

πŸ“ž
πŸ“Service Charge 30,000

#trendingvideo #istagram #realestateagent #tanzania #trendingsongs

Nyumba yakununua kigamboni
Nyumba yakuuza kigamboni
Kiwanja cha kununua kigamboni
Kiwanja chakuuza kigamboni
Dalali kigamboni
Beach plots kigamboni

Dalali Kigamboni mbavu

dalali__kigamboni_mbavu

@dalali__kigamboni_mbavu

View Listings
Dalali Kigamboni mbavu