Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Kimara Stop Over, Dar Es Salaam (970 sqm)
Kimara, Dar Es Salaam
2 hours ago
Sh. 90,000,000
Aina
Nyumba
Vyumba
4
Ukubwa
970 SQM
Barabara ya Karibu
800m — Morogoro Road
Huduma na Sifa
Maelezo
Nyumba hiyo inauzwa ipo kimara stop over.
Umbali kutoka Morogoro Road ni meters 800.
Nyumba ina vyumba 4 vya kulala kimoja master Ina jiko daining, seble na stool.
Nje kuna mabanda ya kufugia kuku pamoja na kota boy ya chumba na seble.
Ukubwa wa Eneo ni square 970.
Bei yake ni milioni 90.















