Tafuta

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Kisarawe II, Dar Es Salaam (1200 sqm)

Sh. 120,000,000

Maelezo

πŸ”₯ NYUMBA INAUZWA – KIGAMBONI KISARAWE II πŸ”₯🏑

πŸ’Ž FURSA NZURI YA KUMILIKI NYUMBA KWA BEI NZURI!

Nyumba inauzwa Kigamboni – Kisarawe II, eneo zuri na linaloendelea kwa kasi.

✨ SIFA ZA NYUMBA:
βœ… Vyumba 4
βœ… Vyumba 3 ni Master
βœ… Sebule
βœ… Dining
βœ… Jiko
πŸ“ Ukubwa wa kiwanja: SQM 1,200
πŸ“„ Kimepimwa na kina Hati ya Wizara
πŸ’§ Maji yanapatikana

⚑ GOOD NEWS:
Nyumba bado ipo kwenye hatua za umaliziaji. Kazi kubwa imefanyika, zimebaki finishing ndogo ndogo pamoja na maandalizi ya umeme na baadhi ya vitu vingine. Hii inakupa nafasi ya kumalizia kwa style unayoipenda.

πŸ“ UMBALI:
πŸ“Œ Mita chache kutoka Baba Alami
πŸ“Œ Kilomita 10 kutoka Ferry
πŸ“Œ Kilomita 10 kutoka Darajani, Kigamboni

πŸ’° BEI: TZS MILIONI 120
🀝 Mazungumzo kidogo yapo.

πŸ”₯ Nyumba nzuri, eneo zuri, kiwanja kikubwa na ina Hati ya Wizara β€” fursa nzuri kwa makazi au uwekezaji!

πŸ“ž 0769 554 221
πŸ“Service charge 30,000

#trendingvideo #istagram #realestateagent #tanzania #trendingaudio

Matangazo mengine Kisarawe Ii, Dar Es Salaam