Tafuta

Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Bungi, Zanzibar - Unguja South

Zanzibar, Zanzibar
3 hours ago
Sh. 600,000,000

Maelezo

🏑πŸ”₯ NYUMBA NA ENEO KUBWA LINAWAUZWA – BUNGI, BIHOLE πŸŒŠπŸŒ…
Fursa adimu kwa wawekezaji! Tunauza nyumba pamoja na eneo lake, ipo bungi, maarufu kwa Bihole.
πŸ“ Ukubwa wa eneo:
Mita 46 Γ— 46 = Square Meter 2,116 πŸ”₯
🏠 Nyumba ina takribani vyumba 5, na bado unapata eneo kubwa ambalo unaweza kulitumia kujenga bungalow, villa nyingine au kufanya uwekezaji mwingine.
🌊 Location nzuri sana:
πŸ“ Ipo takribani line ya 2 au 3 kutoka beach
πŸš— Takribani dakika 5 kutoka barabara kuu
πŸŒ… Unaweza kupata view nzuri ya beach na sunset kutoka kwenye eneo hili.
πŸ’° BEI: TSh 600,000,000/=
βž• Mazungumzo yapo kwa mteja serious.
πŸ”₯ Hii ni nafasi nzuri sana kwa mtu anayehitaji property yenye eneo kubwa karibu na beach. Fursa kama hizi si rahisi kuzipata, na bei yake ni nzuri ukilinganisha na potential ya eneo.
πŸ“ž Kwa maelezo zaidi / viewing:
0776 10909 2
0686 230 110
🚨 WAHI MAPEMA!
Fursa kama hii inaweza isikae sokoni muda mrefu.
Karibuni sana wawekezaji wote. πŸ‘πŸŒŠπŸ’Ό

Matangazo mengine Zanzibar, Zanzibar

Nyumba inauzwa Melinne, Zanzibar

Sh. 65,000,000

For Sale240 sqm
Nyumba inauzwa Unguja, Zanzibar

Sh. 1,300,000

For Sale