Tafuta

Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Kibada, Dar Es Salaam (1000 sqm)

Sh. 600,000,000

Huduma na Sifa

Hati
Ardhi Iliyopimwa
Karibu na Barabara ya Lami
Dining
Jiko
Sebule

Maelezo

๐Ÿก CLASSIC HOUSE INAUZWA โ€“ KIGAMBONI, KIBADA ๐Ÿก

Je, unatafuta nyumba ya kifahari yenye nafasi kubwa na fursa nyingi za uwekezaji? Hii ndiyo chaguo sahihi!

โœจ Sifa za Nyumba:
โœ… Vyumba 5 vya kulala, vyote Master
โœ… Sebule kubwa
โœ… Dining room
โœ… Jiko la kisasa
โœ… Eneo la SQM 1,000
โœ… Kiwanja kimepimwa na kina Hati ya Umiliki

๐Ÿ“ Mahali: Kigamboni โ€“ Kibada

* Mita 200 tu kutoka barabara ya lami
* Kilomita 6 kutoka Ferry
* Kilomita 5 kutoka Daraja la Mwalimu Julius Nyerere

๐ŸŒŸ Nyumba ipo katika mtaa mzuri wenye mazingira safi na salama. Inafaa kwa:
โœ”๏ธ Makazi ya kifahari
โœ”๏ธ Airbnb
โœ”๏ธ House Party Venue
โœ”๏ธ Boutique Hotel
โœ”๏ธ Uwekezaji wenye faida

๐Ÿ’ฐ Bei: TZS Milioni 600
๐Ÿค Mazungumzo yapo kwa mnunuzi mwenye nia ya dhati.

๐Ÿ“ž

#trendingvideo #istagram #realestateinvestment #realestateagent #tanzania

Dalali Kigamboni mbavu

dalali__kigamboni_mbavu

@dalali__kigamboni_mbavu

View Listings

Matangazo mengine Kibada, Dar Es Salaam

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kibada Mwera, Dar Es Salaam (600 sqm)

Sh. 125,000,000

For Sale3 beds0 baths600 sqmhouse
Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Kibada, Dar Es Salaam (800 sqm)

Sh. 600,000,000

For Sale5 beds5 baths800 sqmhouse
Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kibada, Dar Es Salaam (300 sqm)

Sh. 65,000,000

For Sale3 beds1 bath300 sqmhouse
Dalali Kigamboni mbavu