Tafuta

Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Kigamboni, Mikwambe, Dar Es Salaam (650 sqm)

Sh. 45,000,000

Huduma na Sifa

Karibu na Barabara ya Lami
Dining
Sebule

Maelezo

🏑 MABOMA MAWILI YANAUZWA – KIGAMBONI, MIKWAMBE (MALIASILI )🏑

Fursa adimu kwa wawekezaji na wanaotafuta eneo lenye maendeleo ya haraka.

Boma la Kwanza

βœ… Lina nyumba 2 za chumba kimoja na sebule
βœ… Zote ziko mbele na zinagusana na barabara ya mtaa

Boma la Pili

βœ… Vyumba 3
βœ… Sebule
βœ… Dining
βœ… Lipo ndani ya kiwanja hicho hicho

πŸ“ Ukubwa wa kiwanja: Kuanzia 650 Sqm

πŸ“ Mahali ilipo:
β€’ Mita 300 kutoka barabara kuu ya lami
β€’ Kilomita 9 kutoka Feri
β€’ Kilomita 10 kutoka Daraja la Nyerere

πŸ’° Bei: TZS Milioni 45
Maongezi yapo kwa mnunuzi makini.

πŸ’Ό Fursa za Uwekezaji:
βœ”οΈ Kujenga apartments za kupangisha
βœ”οΈ Hostel
βœ”οΈ Guest House
βœ”οΈ Nyumba ya kisasa ya familia (Dream House)

πŸ“ž0769554221

#trendingvideo #istagram #realestatemarket #tanzania #trendingaudio

Matangazo mengine Kigamboni, Dar Es Salaam