Tafuta

Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Mji Mwema Kibugumo, Dar Es Salaam (600 sqm)

video thumbnail
Sh. 72,000,000

Huduma na Sifa

Uzio
Karibu na Barabara ya Lami
Sebule
Dining
Jiko

Maelezo

🏑 NYUMBA KALI INAUZWA – KIGAMBONI, MJI MWEMA KIBUGUMO 🏑

Unatafuta nyumba ya kisasa katika eneo zuri la Kigamboni? Hii ndiyo fursa yako!

βœ… Vyumba 5 vya kulala, vyote Master
βœ… Sebule kubwa
βœ… Dining
βœ… Jiko la kisasa
βœ… Eneo la SQM 600
βœ… Limezungushiwa fence
βœ… Mita 400 tu kutoka barabara ya lami
βœ… Mazingira tulivu yenye huduma zote muhimu

Nyumba imejengwa kwa matumizi ya familia, ni imara, haina changamoto yoyote, na inafaa kwa makazi pamoja na uwekezaji.

πŸ’° Bei: TSh Milioni 72 tu (Mazungumzo yapo)

πŸ“ž Wasiliana nasi leo kupanga kuitembelea.

πŸ’Ό Service Charge: TSh 30,000

πŸ“± Instagram: @dalali_kigamboni_plots_forsale

#creatorsearchinsights #dalalikigamboni #dalalidaressalaam #dalalinyumbaviwanja #realestateapartment Kigamboni

Matangazo mengine Kibugumo, Dar es Salaam