Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Msongola Stand, Dar Es Salaam

Huduma na Sifa
Maelezo
NYUMBA MBILI PAMOJA,TSHS.30 MILIONI,MSONGOLA STAND.
Jumla kuna vyumba 5( Masta 1)
Ni Gari moja hadi Mjini.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
________________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255 714 591 548
________________mskv















