Tafuta

Nyumba ya vyumba 6 inauzwa Kibada Kisarawe II, Dar Es Salaam (4000 sqm)

video thumbnail
Sh. 1,300,000,000

Huduma na Sifa

Hati
Boys Quarter2
Modern Kitchen
Large Living Room

Maelezo

NYUMBA NZURI YA KISASA INAUZWA – KIGAMBONI KIBADA KISARAWE ll

Unatafuta nyumba ya kisasa yenye nafasi kubwa na mazingira mazuri? Hii hapa fursa yako!

Sifa za nyumba:
• Vyumba 6 vyote master
• Sebule kubwa, dining na jiko la kisasa
• Boys quarter 2
• Eneo la kiwanja: SQM 4000
• Hati ya Wizara ipo

Mahali:
• Kibada Kisallawe ll Kigamboni

Bei: Tsh BILIONI 1.3 (mazungumzo yapo)

Nyumba ipo katika eneo tulivu, salama na lenye miundombinu nzuri – inafaa kwa makazi ya kifamilia au uwekezaji.

Wasiliana sasa kwa maelezo zaidi au kupanga kutembelea!