Tafuta

Nyumba/Apartment ya vyumba 7 inapangishwa Tabata Kinyerezi Zimbili, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
media -7
media -8
Sh. 2,500,000/month

Maelezo

Stand alone)Apartment nzuri sana na ya kisasa inapangishwa bei miiion 2.5, ina vyumba 7 vya kulala vyumba 6 master bedrooms, sebule chini moja 1, sebule mbili 2 za juu, fully ac & fan, makabati ya nguo, store, public toilet, parking kubwa, paving block, maji ya bule ya kisima na dawasa pia ipo, heater water, reserve water tank, Hii apartment ipo maeneo ya tabata kinyerezi zimbili dar es salaam

Calls/whatsapp 0768682919 au 0653233641

Service survey charge tsh 30000
Au malipo ya dalali

Matangazo mengine Tabata, Dar Es Salaam