Tafuta

Nyumba ya vyumba 8 inauzwa Ubungo Mbezi, Dar Es Salaam (2500 sqm)

Sh. 1,800,000,000

Maelezo

NYUMBA YA KIFAHARI INAUZWA — INAFAA KWA FAMILIA YAKO!

Unatafuta nyumba kubwa, ya kisasa na yenye nafasi ya kutosha kwa familia yako? Hii ni fursa ya kipekee!
Kiwanja: SQM 2,500
Nyumba Kuu: Vyumba 5 — vyote Master Bedroom
Sebule kubwa
Dining kubwa
Jiko kubwa na lenye nafasi ya kutosha
Nyumba ya Pembeni:
Vyumba 3
JUMLA: VYUMBA 8

Swimming Pool
Uwanja wa Basketball
Eneo kubwa na mazingira yanayofaa kwa familia na mapumziko.

BEI: TSH BILIONI 1.8
Nyumba hii ni zaidi ya makazi — ni lifestyle ya kifahari kwa familia yako.
Kwa maelezo zaidi na kuiona nyumba, wasiliana nasi.

SITE VISIT 50,000
Contact
0679 997610

Matangazo mengine Ubungo, Dar Es Salaam

Nyumba ya vyumba 8 inauzwa Ubungo, Dar Es Salaam (2500 sqm)

Sh. 1,800,000,000

For Sale8 beds2,500 sqmhouse