Apartment inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam
Kigamboni, Dar Es Salaam
1 day ago
Sh. 170,000/month
Huduma na Sifa
Maelezo
Nymba Kali zinapatikana kigamboni
loc kigamboni ferry
✅Chumba master na jiko
✅Nyumba ni appertment
✅Nyumba ipo Kalibu na barabarani
✅nyumba Ina fensi
✅Nyumba Ina parking
asking price 170k per month
malipo miez 4
dalali mwez mmoja
service charger 20k
☎️
☎️
✅kalibuni kigamboni















