Tafuta

Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kibada, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 350,000/month

Maelezo

🏠 APARTMENT INAPANGISHWA – KIGAMBONI, KIBADA, DAR ES SALAAM

📍 Eneo la Kibada, Kigamboni. Eneo la makazi linaloendelea kukua kwa kasi.

✅ Chumba 1 Master Bedroom
✅ Sebule kubwa
✅ Jiko la kisasa
✅ Nyumba mpya kabisa
✅ Tiles za kisasa
✅ Gypsum nzuri
✅ Milango na madirisha ya aluminium
✅ Ipo ndani ya fence
✅ Ulinzi wa kutosha
✅ Paving block za kutosha

💰 Kodi: TSh 350,000 kwa mwezi

📞 Wasiliana nami kwa maelezo zaidi na kupanga kuja kuiona.

#ApartmentKigamboni #Kibada #DarEsSalaam #NyumbaYaKupanga #ApartmentForRent KigamboniHomes NyumbaMpya RentalDSM 🏠

Matangazo mengine Kibada, Dar Es Salaam

Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kibada, Dar Es Salaam

Sh. 600,000/month

For Rent2 beds2 bathsapartment