Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kigamboni Kisiwani, Dar Es Salaam
Kigamboni, Dar Es Salaam
23 hours ago
Sh. 200,000/month
Huduma na Sifa
Maelezo
NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI
location kisiwani
Nyumba ina chumba kimoja master na jiko mpya kali
Nyumba iko fenced
Nyumba ina parking
Nyumba ina electric ⚡️
Nyumba apartment
Asking price 200k TSH! per month
mwezi moja wa dalali kisiwani
Maji bule
Umeme luku yako
Services charge elfu ishilini
Mawasiliano











