Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara Baruti, Dar Es Salaam









Kimara, Dar Es Salaam
55 minutes ago
Sh. 250,000/month
Huduma na Sifa
Maelezo
Location kimara baruti km1
Apartiment house for rent nzuri kali sana mpya kabisa
Kodi 250000 kwa mwezi na dalali mwezi 1 Service charge 20000 kuona nyumba
Chumba kimoja master
Open kitchen
Umeme luku yako
Maji dawasa ndani yanafloo
Paving block
Parking space
Mazingira tulivu sana
Nyumba ipo ndani ya fency
dalali pilipili















