Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara Korogwe, Dar Es Salaam
ID: 260906KWDR2








Aina
Apartment
Vyumba
1
Barabara ya Karibu
7min
Awali
Inaruhusiwa
Maelezo
NEW NEW APARTMENT MPYA KABISA KUHAMIA TAREHE 10/09/2026 MALIPO RUKSA
#SEBULE WASTANI
#CHUMBA MASTER
#JIKO OPERN KITCHEN MAKABATA YANAWEKWA
#TAILZY GIPSAM ALUMINIUM SLIDING WINDOW PAVING BLOCK NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA SANA
#FULL ICE
LUKU NA MITER YA MAJI VIJATEGEMEA VINAJITEGMEA MAJI DAWASA YANATOKA NDANI
LOCATION KIMARA KOROGWE DK 7 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI NJIA RAFIKI KWA GARI ZOTE ZA CHINI
BEI NI 350,000/= KWA MWEZI MALIPO MIEZI 8 BAADA YA HAPO UTAENDELEA NA 5,6
NOTE KUJA KUONA NYUMBA NI SHILINGI ELFU 20 YA KITANZANIA MPAKA UPATE NYUMBA
Kwa maelezo zaidi piga :- /
Mr.











